Post za Masanja mkandamizaji, Idriss Sultani na Mbasha baada ya orodha ya Makonda leo
on
Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji >>>>alipost picha ya watu walioganda nakuandika “RC Makonda aliposema, MCHUNGAJI WANGU, alafu akatulia kwa muda bila kutaja jina, kuna watu walishaita Ambulance”

Idriss Sultan: “Makonda aliposema Idd asingemalizia nilikuwa nshakufa MUBASHARAAAA..!!!!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha: Alipost picha ya Helicopter na kuandika haya “Atatua na hii kituo cha kati ijumaa saa 5
No comments:
Post a Comment